Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Yaani nyie tangia Azam wamewatoa usichana wenu mnahangaika sana kutafuta mchawi wakati mchawi ni nyie wenyeweI will be short.
10 matches in, Arajiga ajapewa mechi hata moja ya Simba.
Ila Yanga kachezesha mechi 4 zote Simba hata moja. Kama hii sio match fixing ni nini?
Note: Wote wapo hapa hapa Dar.
Utopolo bado mna wenge BCBG la kubamizwaNgoja waje wakutukane, badala ya kukujibu kwa hoja.
Utopolo bado hamjasemaYupo refa wao Mdoe, Wana tamba na kuringa nae.
Ukiweka refa wa maana kwenye mechi ya Simba, Simba anapasuka mapema kwasasa Wana marefa wao wa Mchongo.
Arajiga ashukuliwe kuna penati kuitia mfukoni kaenda kuonnyesha wanae.I will be short.
10 matches in, Arajiga ajapewa mechi hata moja ya Simba.
Ila Yanga kachezesha mechi 4 zote Simba hata moja. Kama hii sio match fixing ni nini?
Note: Wote wapo hapa hapa Dar.
Bodi ya ligi ni lazima iwapange marefa dhaifu kwenye mechi za 5imba ili wakifanya makosa ionekane ni udhaifu wao na sio mlungula, Tatu Malogo, Ely Sasii n.k
Ngoja waje wakutukane, badala ya kukujibu kwa hoja.
Wewe usichana alikutoa naniYaani nyie tangia Azam wamewatoa usichana wenu mnahangaika sana kutafuta mchawi wakati mchawi ni nyie wenyewe
Keshooo na kmcI will be short.
10 matches in, Arajiga ajapewa mechi hata moja ya Simba.
Ila Yanga kachezesha mechi 4 zote Simba hata moja. Kama hii sio match fixing ni nini?
Note: Wote wapo hapa hapa Dar.