lini ccm watajikombea mbele cdm kuzika political carreer za viongozi wa ccm?

lini ccm watajikombea mbele cdm kuzika political carreer za viongozi wa ccm?

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
ktk muda mfupi tumeona cdm wakizika political carreer za viongozi wa ccm ktk serikali na wastaafu.

tumeona arumeru lowasa,wasira,mkapa,sendeka, ,tumeona ktk mazishi ya makani mukama alionekana kituko na mpotevu, tumeona Nape na mwigulu tayari wamebaki km wendawazimu wasiotaka kubali kuwa sasa hivi wapo uchi,tumeshughudia vyama mamluki,msajili wa vyama tendwa nae ni kituko,tumeona majeshi,takukuru na mwanasheria mkuu kubaki vichekesho.Ni CAG tu ndio hajaingia ktk matope.sita na membe na uongozi wa bunge wameshamalizwa kabisa.mbaya hata watarajiwa ktk migiro cdm wameshawavua carrees na kuzika.

Cdm bado wanaendelea sasa wamekama kichwa wanamtafuna mwenyekiti ,katibu mkuu na makamu wao na tayari wameshadumbukiza kaburini.

Swali je ni lini ccm watajikomboa na nani atakuwa nabii na mkombozi?
 
mods :move hii thread back to main ya jukwaa la siasa.
 
Sasa career ya Kinana ktk siasa, ndio basi,ya Sitta nayo ni hivyo hivyo.
 
Very soon, dhaifu atakuwa katoka jikoni kwa lema kwenda mezani kwa Lissu for dinner.
 
Jamani yanayotokea Arusha katika Kampeni ni kama CCM imeshaharamishwa...arusha tayari na hawana hata ujasiri wa kufanya kampeni.
 
Hmmhmhhmm Cdm katiba ishawauwa ehhhhh

CCM hawaimalizi kabla ya 2015, labda waone itawakomboa wakiweza weka vpengele vya😵therwise CDM wataikuta bado na kutangaza zoezi lirudiwe.
 
pamojana hila mauaji, bado CCM wamabaki kuwa vibonde kwa CDM.Vibonde wa kifikra, mikakati na hata kustaarabika...
 
Back
Top Bottom