Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Wewe ni mjingaNaisubiri kwa hamu siku hiyo kujua vyama gani vitashiriki uchaguzi na vile havitashiriki uchaguzi.Mwaka huu Mimi na familia yangu tutashiriki kikamilifu kwenda kupiga kura ni haki ya kikatiba.
Chama Cha kutukana watu naomba mtulie Mkinitukana nawatukana na Mimi.Mimi siyo mnyonge kama G55
Wewe ni mpumbavuWewe ni mjinga
Umekula maudaga yakoNaisubiri kwa hamu siku hiyo kujua vyama gani vitashiriki uchaguzi na vile havitashiriki uchaguzi.
Mwaka huu Mimi na familia yangu tutashiriki kikamilifu kwenda kupiga kura ni haki ya kikatiba.
Chama Cha kutukana watu naomba mtulie Mkinitukana nawatukana na Mimi.
Mimi siyo mnyonge kama G55
Cdm hawashiriki chaguzi za kipuuzi.Naisubiri kwa hamu siku hiyo kujua vyama gani vitashiriki uchaguzi na vile havitashiriki uchaguzi.
Mwaka huu Mimi na familia yangu tutashiriki kikamilifu kwenda kupiga kura ni haki ya kikatiba.
Chama Cha kutukana watu naomba mtulie Mkinitukana nawatukana na Mimi.
Mimi siyo mnyonge kama G55
Waacheni wapuuzi washiriki na wajuaji wakae chonjoCdm hawashiriki chaguzi za kipuuzi.
vyama vya siasa vilivyo saini kanuni za uchaguzi ndivyo pekee vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu na ndivyo pekee vitakuepo kwenye ballot papers.Naisubiri kwa hamu siku hiyo kujua vyama gani vitashiriki uchaguzi na vile havitashiriki uchaguzi.
Mwaka huu Mimi na familia yangu tutashiriki kikamilifu kwenda kupiga kura ni haki ya kikatiba.
Chama Cha kutukana watu naomba mtulie Mkinitukana nawatukana na Mimi.
Mimi siyo mnyonge kama G55
Badala ya kushiriki uchaguzi, eti wao wanapanga kukinukisha !Cdm hawashiriki chaguzi za kipuuzi.
Tushiriki uchaguzi kama mazoba wakati ccm ina matokeo tayari?Badala ya kushiriki uchaguzi, eti wao wanapanga kukinukisha !
Acha sisi tushiriki; hata kama ni kwa kupiga kura za maruhani!Tushiriki uchaguzi kama mazoba wakati ccm ina matokeo tayari?
Hizo kura za maruhani huwa mnazipiga kila mara.Acha sisi tushiriki; hata kama ni kwa kupiga kura za maruhani!
Waliwahi kuzipiga wazanzibari, sisi huku Tanganyika hatujawahi kuzitumia. Mimi nitapiga mwaka huu.Hizo kura za maruhani huwa mnazipiga kila mara.
Huwa tunaona mabeg ya kura, labda hujawahi kuona ww binafsi.Waliwahi kuzipiga wazanzibari, sisi huku Tanganyika hatujawahi kuzitumia. Mimi nitapiga mwaka huu.
Sijawahi kuonaHuwa tunaona mabeg ya kura, labda hujawahi kuona ww binafsi.
Kwani kuna uchaguzi ? Toka lini taifa lililopo chini ya state capture likawa na uchaguzi tena state capture ya raia feki na wakigeni ....Naisubiri kwa hamu siku hiyo kujua vyama gani vitashiriki uchaguzi na vile havitashiriki uchaguzi.
Mwaka huu Mimi na familia yangu tutashiriki kikamilifu kwenda kupiga kura ni haki ya kikatiba.
Chama Cha kutukana watu naomba mtulie Mkinitukana nawatukana na Mimi.
Mimi siyo mnyonge kama G55
Hilo ni kosa lako, sio letu tulioona.Sijawahi kuona
SawaHilo ni kosa lako, sio letu tulioona.