vyama vya siasa vilivyo saini kanuni za uchaguzi ndivyo pekee vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu na ndivyo pekee vitakuepo kwenye ballot papers.
It's simple and clear, vyama hivyo vinajulikana na vinafahamika kwa umma. hakuna siku nyingine vitatangazwa tena ispokua siku ya uteuzi hususani kwa wagombea urasi wao 🐒