Lini Kibu Denis atarejea tena uwanjani?

Lini Kibu Denis atarejea tena uwanjani?

Tipstipstor

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2021
Posts
1,528
Reaction score
3,352
Ni muda sasa huyu mwamba hajaonekana uwanjani na taarifa zake mpaka sasa hatuzijui anaendeleaje!

Kukosekana kwake ni pengo kubwa sana kwa timu ya Taifa ya klabu, namaanisha wekundu wa Msimbazi Simba.
 
Ni muda sasa huyu mwamba hajaonekana uwanjani na taarifa zake mpaka sasa hatuzijui anaendeleaje!

Kukosekana kwake ni pengo kubwa sana kwa timu ya Taifa ya klabu ,namaanisha wekundu wa Msimbazi Simba.
Bado ni majeruhi , vuta subra muda si mrefu atarejea uwanjani
 
Hata akirudi hana impact kwenye timu yetu pendwa, natamani aondoke hata leo
Tuwache utani Kibu ni mtu wa Kazi. Tatizo tunaushabiki na mahaba yaliyopitiliza kwenye hivi vilabu vyetu pendwa kulwa na Doto
 
Ni muda sasa huyu mwamba hajaonekana uwanjani na taarifa zake mpaka sasa hatuzijui anaendeleaje!

Kukosekana kwake ni pengo kubwa sana kwa timu ya Taifa ya klabu, namaanisha wekundu wa Msimbazi Simba.
Ameshaanza mazoezi mepesi kwa sasa na kurejea Kwake effectively kutakuwa ndani ya Wikk Mbili au Tatu kutoka Jumatatu ya jana.
 
Back
Top Bottom