Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Bado ni majeruhi , vuta subra muda si mrefu atarejea uwanjaniNi muda sasa huyu mwamba hajaonekana uwanjani na taarifa zake mpaka sasa hatuzijui anaendeleaje!
Kukosekana kwake ni pengo kubwa sana kwa timu ya Taifa ya klabu ,namaanisha wekundu wa Msimbazi Simba.
Mnamsagia kunguni au kwa vile si Mtanzania?Hata akirudi hana impact kwenye timu yetu pendwa, natamani aondoke hata leo
Tuwache utani Kibu ni mtu wa Kazi. Tatizo tunaushabiki na mahaba yaliyopitiliza kwenye hivi vilabu vyetu pendwa kulwa na DotoHata akirudi hana impact kwenye timu yetu pendwa, natamani aondoke hata leo
Ameshaanza mazoezi mepesi kwa sasa na kurejea Kwake effectively kutakuwa ndani ya Wikk Mbili au Tatu kutoka Jumatatu ya jana.Ni muda sasa huyu mwamba hajaonekana uwanjani na taarifa zake mpaka sasa hatuzijui anaendeleaje!
Kukosekana kwake ni pengo kubwa sana kwa timu ya Taifa ya klabu, namaanisha wekundu wa Msimbazi Simba.
Okwi Boban Sunzu anakuja kutujibuKwani Kibu Dennis na Fiston Mayele nani mkali awapo dimbani?
Okwi Boban Sunzu anakuja kutujibu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mliishia wap kumfananusha na Mayele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MAKOLO bna
Simba imeshindwa kumlipa mshaharaNi muda sasa huyu mwamba hajaonekana uwanjani na taarifa zake mpaka sasa hatuzijui anaendeleaje!
Kukosekana kwake ni pengo kubwa sana kwa timu ya Taifa ya klabu, namaanisha wekundu wa Msimbazi Simba.