Lini kipande cha SGR Dodoma Mwanza kitakamilika? Umuhimu wa usafiri wa treni kwa uchumi wa taifa la Tanganyika umeonekana

Lini kipande cha SGR Dodoma Mwanza kitakamilika? Umuhimu wa usafiri wa treni kwa uchumi wa taifa la Tanganyika umeonekana

Ngoja kwanza tumalize goli la mama
 
Treni ya SGR inapaswa kufika kote Mwanza na Kigoma haraka ili kukusanya pesa za kusafirisha mizigo ya nchi jirani na kupunguzia raia makali ya kodi na tozo za Madilu Yanga Africa. Kule Mwanza wanajenga kwa kusuasua sana sijui kama Kigoma nako wameanza. Siku reli ya SGR ikimalizika kujengwa na kufika Mwanza na Kigoma Bimkubwa atakuwa ametukuka!

Lengo mama la Magu kujenga SGR ni kusafirisha haraka mizigo ya nchi majirani na kuwashusha waKenya kiuchumi ambao walifisadi SGR yao ya dizeli ikaishia njiani Naivasha huku mikopo ikiwakomesha maana kubeba abiria hakutoshi kulipa deni, SGR kubeba abiria ni bonus tu sio lengo kuu la kujengwa kwake . Magu was a genius akampa kijiti Bimkubwa nae anaupiga mwingi mno hakuna Rais imara kama yeye Africa nzima kwa sasa.
 
Hiv vile vichwa vilivyochongoka (vya mchongo) vinatumika wapi??? Maana vinavyotumika si vile tulionyeshwaga
Screenshot_20240914_053312_Samsung Internet.jpg

Au ndio tumeamua kufunika kombe mwanaharam apite 2025??
 
Back
Top Bottom