lini masomo ya chuo mwaka huu yanaanza?

lini masomo ya chuo mwaka huu yanaanza?

king roja

Senior Member
Joined
May 4, 2012
Posts
141
Reaction score
7
Hivi wana Jf napenda kuwauliza, kwa mwaka huu wa masomo 2012 watakao bahatika kuchaguliwa na Tcu wataanza mwezi wa ngapi ma7omo?
 
Kuanzia wiki ya kwanza ya mwezi wa kumi.
 
Hapa na Mimi nimrpata ki2. pia naomba kuuliza utaratibu unaotumika mpaka mwanafunzi kufika chuoni na kuwa admitted, je hutumiwa taarifa au inakuaje??
 
Hapa na Mimi nimrpata ki2. pia naomba kuuliza utaratibu unaotumika mpaka mwanafunzi kufika chuoni na kuwa admitted, je hutumiwa taarifa au inakuaje??

utatumiwa admission letter ambayo itakupa maelekezo yote.over
 
matokeo ya selection tcu bado nauliza ili kujipanga tu hasa kifedha
 
Back
Top Bottom