dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Eid Mubarak.
Kwa kweli sijui ni nani aliasisi, jumamosi na jumapili kuwa siku za mapumziko?.
Ukiangalia jumamosi ni siku ya ibada kwa wasabato, jumapili ni siku ya ibada kwa wakatoliki na madhehebu mengine.
Siku ya ijumaa ambayo ni siku ya ibada kwa waislam imesahaulika. Tuwape wenzetu nao haki yao, tuweke udini, pembeni je hii ni haki?
Sijajua vilitumika vigezo gani kufanya jumamosi na jumapili kuwa siku za mapumziko.Naiomba serikali irekebishe hii Sheria, hakika ni kandamizi kwa dini ingine.