S SolarPower JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 223 Reaction score 27 May 10, 2012 #1 Naamini imefika wakati nchi yetu ianzishe Televisheni Maalum ya Elimu yenye Channels zaidi ya Tano kwa ajili ya kutoa elimu bora kuanzia ngazi ya shule za msingi mpaka chuo kikuu.
Naamini imefika wakati nchi yetu ianzishe Televisheni Maalum ya Elimu yenye Channels zaidi ya Tano kwa ajili ya kutoa elimu bora kuanzia ngazi ya shule za msingi mpaka chuo kikuu.