Lini nipige Siling board katika ujenzi wa nyumba!

ytara jr.

Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
61
Reaction score
22
Hi, napenda kujua katika ujenzi, ni lini nipige siling board, ni baada ya rafu au baada ya kung'arisha chiping.

 
kwa ujenzi wa sasa ivi apo umewahi sana maana kabla ya plasta unatindua kwa ajili ya kuweka bomba na set up ya wiring halafu brandaring then plasta kwa maana iyo plasta itasaidia mbao za brandaring zisishuke sababu zitaend weka ukingo pale ila sio mbaya vyovyote vile inawezekana ata now maana kila mtu huwa na kipaumbele chake ktk ujenzi mkuu.
 
Kwani wanaopaswa kuuliza humu ni wenye uwezo wa kujenga nyumba kubwa pekee? Wenye vibanda tunauliza wapi?
 
ndio mana nayake wiring kwanza inafata blabdering ukipga plasta kabla ya blanda ukija kuskim itaonesha michiriz ya kupasuka plasta .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…