kuna wale wenzangu tuliotuma zile application za kusoma 5&6 pamoja na stashahada ya ualimu ila sijajua ni lini watatupatia majibu ya maombi yetu!!!!!!
⇩⇩⇩⇩⇩⇩⇩⇩⇩⇩⇩⇩⇩⇩⇩⇩⇩
⇨Kama unafahamu tujulishane