Lini serikali itaona umuhimu wa Education Reformation?

Lini serikali itaona umuhimu wa Education Reformation?

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
738
Reaction score
1,017
Tunaomba kila mkoa wasone kulingana na uhitaji wa mazingira wa eneo husika but this subjects must be tought to every child
1.mathematics
2.physics
3.chemistry
4.biology
5. Geography
Na kiswahili,
Ata kama wakisoma kwa kingreza but masomo yaliyo bakia yawe kulingana na mazingira yanavyo ruhusu sioni haja mtoto wa dodoma ambae ajui arusha ajawai ata kupafika aulizwe climate condition ya kule while yake dodoma hajui ata namna ya kupambana nayo...

Dodoma wasome vya dodoma
Arusha wasome vya arusha

Nb.apa inakuja kwetu stakeholder wazazi kwa ujumla tushirikiane na walimu kutengeneza curriculum nzuri kulingana na mazingira yanayo tuzunguka

If you want to be a billionaire control nature


~ fungi
 
Kwa unavyotaka, mfumo wa elimu utakua wa hovyo sana... Yani kila mkao uwe na mambo yake...
 
Kuwa serikali ifanye decentralization ya curriculum???,, kwa pesa gan waliyonayo,,, competence based yenyewe inawatoa jasho,,, decentralization ndo wataiweza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom