Habari za mchana.
Je, serikali imejipanga vipi na ina mpango upi wa muda mrefu kwa wakazi wa Kigamboni ambao wakuwa wakipata hadha ya kuhangaika na usafiri wa kivuko Ferry takribani mwezi mmoja sasa, kivuko kinachofanya kazi ni kimoja tu MV kazi.
Ambacho kuvuka upande mmoja kwenda mwingine kinatumia takribani lisaa limoja na zaidi.
Hali ambayo inapelekea kuchelewesha shughuli za kila siku za uzalishaji mali kwa wakazi wa Kigamboni wanaofanya shughuli zao mjini.
Nikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaomba serikali itupe jibu imejiandaaje na ina mpango gani na shughuli za uvukaji Kigamboni A.
Ahsante.
www.jamiiforums.com

Ukarabati wa Kivuko cha MV. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024
UKARABATI WA MV. MAGOGONI KUKAMILIKA DISEMBA 2024 Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa Nchini ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya Bungeni jijini Dodoma...