Hellow Tanganyika,
Kuna issues nyingi muhimu niliwaza lini zitapata ufumbuzi, lakini siku chache tu baada ya kuapishwa huyu mtumishi wa Mungu Donald Trump nimepata kuona mwanga mbeleni,
Baadhi ya Issues alizotatua Kwa haraka,
1. Kuzuia vitendo vya USHOGA.
Hivi sasa Kuna ukimya mkuu duniani, yaani kulekule Ujinga huu ulikoanzia, ameinuka mtu na kupiga Pini. Na Kwa kuwa amri huanzia juu kushika chini, utawasikia viongozi wa Afrika wakiunga mkono, Mh Mseveni utatulia sasa.
2. Amehimiza wananchi wa Dunia ya Tatu kudai mabadiliko na DEMOKRASIA ya Kweli.
Sasa mliotegemea ushindi Kwa kutumia wizi wa kura, KAZI mnayo, nakumbusha tu, Amri huanzia juu kurudi chini, na zile harakati za Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi Nchi Fulani za Africa mashariki nio muda wake umewadia.
3. Matumizi sahihi ya raslimali na Kodi za wananchi.
Donald Trump ametukumbusha waafrika kudai raslimali zetu zitumike kunufaisha Nchi zetu na kamwe tusiruhusu viongozi wetu kukiruka Katiba na kufanya matumizi mabaya ya pesa za umma yatokanayo na Kodi zetu.
4. Kuanza kujitegemea Kwa dawa zetu za Asili.
Magu alidokeza kabla akapuuzwa, sasa hivi Kila kiongozi Afrika anahamaki. Japo Kwa kuchelewa, tuanzie sasa.
5. Kurudisha ndugu zetu nyumbani Walio ughaibuni warudi kujenga chumi za nchi zao.
Hili ni jambo jema pia, maana mababu zetu walipelekwa utumwani Kwa kufungwa minyororo, sasa pia ndugu zetu wanarudishwa nyumbani Kwa pingu, karibuni tujenge Africa yetu.
Sasa tunataka nini tena kingine!!
NB: Nasubiri ujio wa Nabii Donald Trump nchini Tanzania, na ninaahidi kumpa zawadi ya Jogoo dume safi kabisa la kienyeji akapate soup!!
Mungu Mbariki Nabii Donald Trump!
Mungu Ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏