Lini Tutapata Picha Ya JK Akiwa Anacheza Huu Mchezo?

Lini Tutapata Picha Ya JK Akiwa Anacheza Huu Mchezo?

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
Jk alikua mchezaji mzuri sana wa mchezo huu wa Basketball kama alivyotuambia enzi hizo, je tutapataje angalau picha zake akiwa anacheza mchezo huu kama Barack Obama anavyoonekana hapa?

l107953-100.jpg

 
ipo moja alikua anacheza mziki... si lazima wote wacheze basketball
 
Iko nyingine anacheza KIDUKU ; mchungaji nadhani anayo akifurahi ataitundika!!
 
Back
Top Bottom