πππ ni sawa lakini kuna muda unapata hamu na ugali acha kabisaHaha ndio maana wadada wa mjini hawataki dona kuepusha shida zote hizoπ
πππ ni sawa lakini kuna muda unapata hamu na ugali acha kabisa
Mla Bata said:ugali hasa dona ni mboga bwana
Depal said:Dona lina mboga zake ukifanya mchezo halipiti kooni
Ulikua na umri gani ulipogundua kua neno unga wa dona, sio unga unaotokana na mahindi yasiyokobolewa bali ni unga wa msaada kutokana na njaa ya mwaka 1974 (unga wa donor)
Ule ambao anatumia manji?Yote tisa,unga wa yanga ndio kiboko.
Hayaaah kumbe iko hivo. Umenijulisha sasa kabla ya hapa sikuwa najuaUlikua na umri gani ulipogundua kua neno unga wa dona, sio unga unaotokana na mahindi yasiyokobolewa bali ni unga wa msaada kutokana na njaa ya mwaka 1974 (unga wa donor)
Kwetu sisi huku mara ugali wa dona ndiyo mboga...sasa jiulize chakula chenyewe ni niniWell , sema ugali hasa dona ni mboga bwanaa, kama hamna mboga ya maana mi waniite mwanaume wa dar tu, nitakula chips.
Acha kutufunga kamba.. kabla ya 1974 hiyo Dona iliitwaje?Ulikua na umri gani ulipogundua kua neno unga wa dona, sio unga unaotokana na mahindi yasiyokobolewa bali ni unga wa msaada kutokana na njaa ya mwaka 1974 (unga wa donor)
NakaziaDona kw mboga labda bamia / mlenda kidoogo utanishawish kula...
Vinginevyo dona maziwa bwana... π π π hapo hunibandui.
Hapana 1974 ilikuwa ni unga wa yanga ndio huo hapo, Dona hata mimi na uzee wangu nimekuta hilo jinaUlikua na umri gani ulipogundua kua neno unga wa dona, sio unga unaotokana na mahindi yasiyokobolewa bali ni unga wa msaada kutokana na njaa ya mwaka 1974 (unga wa donor)
Mchizi said:Yote tisa, unga wa yanga ndo kiboko.