lini wananchi tutaweza kujadili katiba yetu

lini wananchi tutaweza kujadili katiba yetu

jane_000

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
547
Reaction score
43
wa jf naomba update ya katiba lini itakuja kwa wananchi na vitu muhimu nataka nitoe ushauri wangu
 
baada ya kuundwa tume ya kuratibu mchakato mzima wa ukusanyaji maoni na kupewa majukum watapita huko ulipo ili kupata mawazo yako kwa ujenz wa taifa!serikali itatangaza lini wataanza kazi na wao watatangaza ratiba yao.
 
Back
Top Bottom