jane_000 JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 547 Reaction score 43 Mar 3, 2012 #1 wa jf naomba update ya katiba lini itakuja kwa wananchi na vitu muhimu nataka nitoe ushauri wangu
M Mgaya D.W JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 965 Reaction score 475 Mar 3, 2012 #2 baada ya kuundwa tume ya kuratibu mchakato mzima wa ukusanyaji maoni na kupewa majukum watapita huko ulipo ili kupata mawazo yako kwa ujenz wa taifa!serikali itatangaza lini wataanza kazi na wao watatangaza ratiba yao.
baada ya kuundwa tume ya kuratibu mchakato mzima wa ukusanyaji maoni na kupewa majukum watapita huko ulipo ili kupata mawazo yako kwa ujenz wa taifa!serikali itatangaza lini wataanza kazi na wao watatangaza ratiba yao.