Hii nchi utamaduni wa kujiuzuru ni kama jambo la ajabu halikuwahi kuwepo toka uhuru. Na hata record za waliowahi kuajiuzuru kama zipo naamini waliofanya hivyo hata 10 hawafiki.
Kwa hiyo hata ithibitike jambo flani waziri ndo tatizo ni ngumu mtu ajishushe chini na aone hata fedhaha kubaki pale badala yake ndo kwanza anajichukulia kama shujaa flani hivi ni tabia iliyojengwa na chama chakavu.
Sasa subiri uone watakao dondoshewa jumba bovu!