isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
LinkedIn imeaanza kusambaza kipengele cha sauti / #SocialAudio kwa wabaadhi ya watumiaji wa mtandao huo – hasa ikilenga waandaji maudhui kwa hatua ya kwanza.
Mojawapo ya sifa kuu za kitofauti ni uwezo wa kushiriki chapisho "Contextual" la tukio la sauti. Kila tukio la sauti linahusishwa na chapisho la blogu, ambazo hazipotei pia uwepo wa ripoti za waliojiunga au kihudhuria tukio husika.