LinkedIN yaongeza kipengele cha Social Audio

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
LinkedIn imeaanza kusambaza kipengele cha sauti / #SocialAudio kwa wabaadhi ya watumiaji wa mtandao huo – hasa ikilenga waandaji maudhui kwa hatua ya kwanza.











Mojawapo ya sifa kuu za kitofauti ni uwezo wa kushiriki chapisho "Contextual" la tukio la sauti. Kila tukio la sauti linahusishwa na chapisho la blogu, ambazo hazipotei pia uwepo wa ripoti za waliojiunga au kihudhuria tukio husika.
 
Hongera kwao kwa maendeleo hayo naona wataingia sokoni zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…