Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,
Naomba kwa anejua links muhimu zinazotoa elimu ya ujasiliamali aziweke hapa.
Naamanisha Vitabu,blogs,websites,etc Naamini tutazidi kuelimika kupitia link hizo
Karibuni Wadau!
https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/446661-gundua-kwanini-asilimia-90%25-ya-wafanyakazi-wengi-duniani-wanakufa-masikini-2.html
Ujasiliamali vs machapisho, nyongeza ya mtazamo! kabla ya kupitia dazeni ya machapisho link inapanua mtazamo. Ni rahisi kumnukuu mzungu kuliko mtu mweusi. Kwa mara nyingine mtu mweusi anaweza kuonyesha tofauti ya kweli na kuisimamia, hoja inapingwa kwa kua R. T. Kiyosaki kasema .... Tuache kuyafananisha mitazamo ya mtu na rangi ya ngozi, tunajibagua wenyewe. Mawazo ya Yesu hayakukubalika kwakua alikua nabii mweusi.
Elimu ya ujasiliamali inaboresha mbinu kwa mjasiliamali, haiongezi mjasiliamali mpya.