Ujasiliamali vs machapisho, nyongeza ya mtazamo! kabla ya kupitia dazeni ya machapisho link inapanua mtazamo. Ni rahisi kumnukuu mzungu kuliko mtu mweusi. Kwa mara nyingine mtu mweusi anaweza kuonyesha tofauti ya kweli na kuisimamia, hoja inapingwa kwa kua R. T. Kiyosaki kasema .... Tuache kuyafananisha mitazamo ya mtu na rangi ya ngozi, tunajibagua wenyewe. Mawazo ya Yesu hayakukubalika kwakua alikua nabii mweusi.
Elimu ya ujasiliamali inaboresha mbinu kwa mjasiliamali, haiongezi mjasiliamali mpya.