JamiiCheck
Member
- Nov 3, 2023
- 98
- 122
Kumekuwapo na Links (Viungo) vinavyotumwa katika makundi sogozi na mitandao mingine ya kijamii ikiwataka watu kubofya link hiyo ili wapate zawadi ya Mb ama pesa.
Links hizo mara nyingi zimekuwa si salama zikiwa na lengo la kuwalaghai wananchi na kuchukua taarifa zao binafsi na wakati mwingine kupelekea akaunti zao kudukuliwa.
Thibitisha links za aina hiyo kila unapokutana nazo ili kuepuka kupotoshwa na kukutana na madhara tajwa hapo juu. Hakikisha pia huendelei kusambaza links za aina hiyo ili kuwalinda wengine pia.
Sote kwa pamoja tuna jukumu la kuhakikisha tunailinda jamii dhidi ya taarifa potoshi na zenye lengo la kulaghai. Tembelea JamiiCheck.com kuwasilisha taarifa yoyote uliyo na mashaka nayo, na kuweza kuona pia taarifa nyingine zilizohakikiwa.