Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,277 Reaction score 8,860 Feb 9, 2016 #1 Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi amegundulika kuwa na tatizo la figo baada ya kufanyiwa vipimo vya afya. Hili ni pigo kwa wapenda soka wote duniani,
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi amegundulika kuwa na tatizo la figo baada ya kufanyiwa vipimo vya afya. Hili ni pigo kwa wapenda soka wote duniani,
mcubic JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 10,310 Reaction score 6,544 Feb 9, 2016 #2 Edit kidogo title yako......
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,185 Reaction score 37,239 Feb 9, 2016 #3 Mashabiki wake tutamtolea figo hakuna shida wala huzuni hapo....
Lyangalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2009 Posts 679 Reaction score 234 Feb 9, 2016 #4 Weka source ya taarifa yako
K Ksuley JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 1,166 Reaction score 445 Feb 9, 2016 #5 Source Ya Taarifa Yako Please!!!
MZK JF-Expert Member Joined Sep 13, 2012 Posts 240 Reaction score 309 Feb 10, 2016 #7 Chanzo cha habari yako tafadhari
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Feb 10, 2016 #8 unapoongelea Messi unagusa maisha ya watu wengi duniani habari yako iandike vizuri
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,183 Feb 10, 2016 #9 Kidney stones Haina shida sana atapona tu,no need of implant.
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Feb 12, 2016 #10 Ndoho taabu atawekewa figo lingine
beefinjector JF-Expert Member Joined Jul 23, 2009 Posts 2,458 Reaction score 2,496 Feb 12, 2016 #11 "Kidney stones" ni tatizo linalotibika bila kuhitaji figo nyingine. Ingekuwa "kidney failure" hapo ingekuwa habari nyingine.
"Kidney stones" ni tatizo linalotibika bila kuhitaji figo nyingine. Ingekuwa "kidney failure" hapo ingekuwa habari nyingine.