Acha wanywaji waburudike huyo drake anapiga mpunga kuliko wanaosubiri tuzokuangalizia kwenye bar tabu sana wameweka sauti ya mziki wa drake
mkuu hapa ni kelele tu za mziki yaani unaishia kuangalia picha tu za watu.Acha wanywaji waburudike huyo drake anapiga mpunga kuliko wanaosubiri tuzo
Heshima kwako Mkuu!!!
Ningependa Wana_Jf wote waige mfano kwako, tunapoandika Jina la Lionel Messi tunapaswa kuanza kuandika neno King!
Natamani Neymar apate
Messi ndo anachukuahiyo sahau haitatokea mpaka KING atakapostaafu soccer...hata yeye analijuwa hilo
Nmechoka kuona Messi na Ronaldo wanabadilishana hii tuzo, bora hata achukue Neymar