TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Pigia mstari........Yani hilo si la kuuliza. Me nishaapa na narudia tena. Messi asipochukua nabadili jinsiamwArgentina anabeba kwa mara nyingine.....
LabfaTuzo ya kugongwa 0715Ronaldooooo
Pigia mstari........Yani hilo si la kuuliza. Me nishaapa na narudia tena. Messi asipochukua nabadili jinsia
Utakuwa shabiki wa Arsenal wewe!Hongera Lionell Messi japo sikupendi kabisa.
Hatarihongera kwa king messi; ile skendo ya kukobolewa ndio imemtafuna cr7.
Man u ndio hawampend messi na barca chunguza.Utakuwa shabiki wa Arsenal wewe!
Hongera Lionell Messi japo sikupendi kabisa.
Ila ndo yametimia mkuu Messi kabebatehtehtehteh mkuu mbavu zinauma aisee
..these guys this time were very close,never before! kuanzia ule mkutano wao na waandishi wa habari,mpaka wakati wa tuzo,very much friendly..
Utakuwa shabiki wa Arsenal wewe!
Kinaendelea nini? Funguka basihata mimi nilipozipata hizo habari niliumia sana, sikutaka kuamini nilichosikia chapuchapu nkaingia deep zaidi kufatilia huo mkasa basi nkapata fahamu kilichokua kinaendelea.