Lionel Messi ashinda tuzo ya FIFA Ballon d’Or 2015

hata mimi nilipozipata hizo habari niliumia sana, sikutaka kuamini nilichosikia chapuchapu nkaingia deep zaidi kufatilia huo mkasa basi nkapata fahamu kilichokua kinaendelea.
mkuu hizo ni media za kibongo zilizusha huo usenge, sijui waliona biashara zao zinaenda vibaya then wakataka wa create attention ili wauze sana, idont know, tena ukute mwandishi mkubwa kabisa hapa bongo nae anaandika na photoshop juu eti the man is homosexual, #waandishi wa habari badilikeni sio kupotosha umma kuna watu hawana uwezo wa kuchuja habari wanachukua first hand na kwenda kudanganya wenzie#
 
Kumbuka ili hata upate hao mashabiki ni lazima uoneshe cha kuwavutia ndo wakuchague, hao waliochaguliwa na unaodau ni mashabiki wamefanya vizuri
 
FYI MAGAZETI KAMA THE MIRROR na THE SUN NDO YALIANDIKA NA KUFUATILIA HABARI HII KWA UKARIBU SANA WALA SIO BONGO ., na zile picha sio edit ingawa hatuwezi kusem a 100% a ni gaysh,, jamaa wa Morocco aliweka picha amembeba Ronaldo na kuandika ""haaa haaa just got married " kwenye insta page yake ambayo ni official

Cristiano Ronaldo is in a gay relationship with hunky Moroccan kickboxer it has been sensationally claimed
 
Sijui kwanini wanamtetea huyo bwabwa.... eti yameandika magazeti ya bongo... dah!!
 
Record
 

Attachments

  • 1452576530989.jpg
    35.8 KB · Views: 43
Mimi ni mshabiki wa Ronaldo. Nitaendelea kuwa hivyo. Mwaka 2015, Messi anastahili kabisa kuchukua hii tuzo. Ronaldo hata yeye amekiri mara kadhaa alipohojiwa hata kabla ya 3finals haijatoka. Si ajabu. Miaka miwili iliyopita ilikua ya Ronaldo. Messi patiently waited for his turn. Hata alipoongea baada ya kupokea tuzo yake alisema hilo.

Kuwa mchezaji bora unahitaji msimu mzuri kwako na timu yako. Kama timu kwa ujumla haipo vizuri hata ungekuwa Messi, hautafanikiwa. Hiki ndicho kilimkuta CR7; binafsi alifanya alichotakiwa kufanya; kufunga magoli (ndiye mfungaji bora 2015 Ulaya). Ameibeba timu alipolazimika.

Kwa upande wa Messi timu zake (club na nation) zilikua ontop of the game. Player ratings katika vikosi hivi zipo mbali sana compared to that of CR7's in 2015. Kikosi kizima kinaperfom vizuri lazima nawe uwe na chance ya kushine.

Well deserved winner in 2015 just as it was 2014 and 2013. Congratulations Messi.
 
Congrats LEO 10ş..wewe ndio best player all time baada ya kaka yako DIEGO 10ş kustaafu soccer! messi ni mwanajeshi..messi ni shujaa.. na ataendelea kutawala soccer, na ballon d'o zinamsubiri tena
 
umeongea ya maana sana na huu ndo uzalendo wa mpira penye haki ni kupewa haki yake laiti watu wote humu wangalikua na uweleo kama huu wa kwako pasingalikua na mabishano yasoio kua na maana
 
Wakuu,kama mjuavyo Messi ndiyo hivyo tena.anazidi kutengeneza jina
kuwa mchezaji bora wa Dunia kwa Mara tano si mchezo,tena akiwa na miaka 28 tu

Binafsi sijalizishwa na hayo maamuzi,kwani Ronaldo kakosa nini?Messi kweli alistahiri hii tunzo?

wadau mnasemaje?
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…