Karibu sumuTunakula kwanza, tutakuja.
Angeisumbua akili kidogo kwa kutafsiliSio lugha aliyoitumia.... ni hii lugha waliyotumia. Huyu mtanzania mwenzetu amekopi na kupesti tu....
Hata kiswahili pia hajui.Hatainda ?
Kuna kukaribishana kula sumu?Karibu sumu
Hujawahi kusikia kuna mtu anakaanga sumu?Kuna kukaribishana kula sumu?
Huoni ID yangu?Hata kiswahili pia hajui.
Najua kuna Msaga Sumu humu ndani JFHujawahi kusikia kuna mtu anakaanga sumu?
Hahahaha hapo ndipo ugumu unapoanzia sasa....Angeisumbua akili kidogo kwa kutafsili
wewe chizii humu siyo facebook habari za hapa uhakikasource ya habari yako,? weka na link kama inawezekana
BREAKING: Barcelona and Argentina footballer Lionel Messi sentenced to 21 months in prison for tax fraud - Spanish media
Afungwe tu, hakuna namna nyingine
Messi, baba yake jela miezi 21source ya habari yako,? weka na link kama inawezekana
Kwani mleta uzi kaandikaje hapo nwishoni?Ila kwa sheria za Spain hukumu yoyote chini ya miezi 24 ni kifungo cha nje
Naona hii ligha uliyotumia ndio inafanya huu uzi ukose wachangiaji
Ndio maana hatutaki kwenda ulayakimalikia bhabha!!
...kwani
Kwani mleta uzi kaandikaje hapo nwishoni?