Lionel Messi jela miezi 21 kwa kukwepa kodi

Hivi wewe umesahau kuwa UKAWA ndio watetezi wa wezi na wakwepa kodi? Kila leo hii wakikamatwa mnaanza kulia kuwa haki za binadamu zimekiukwa tena mna mtuma mama yenu Kibijo simba atoe tamko!
 
Soma hapo kwenye however utaona hilo gazeti la bongo ni la udaku pia pitia the same topic kwenye soccernet.com. Hiyo nime copy and paste from BBC Sport hapa hatutetei mtu kukwepa kodi ila Habari ya huyu jamaa siyo sahihi jamaa hafungwi
 
magufuli go,go...!.kumbe huko nje watu hawana masihara katika suala la ukwepaji kodi hakuna kuangalia ustaa wa mtu.'Taifa corrupt halikusanyi kodi..'.hapa wadau wa soka tunajifunza kitu.
 
Fungeni hilo likwepaji kodi lizoefu.
 
Kweli mkuu maisha yanaenda kasi. Ukwepaji kodi haujawahi kumuacha mtu salama!
Wakati CR7 anaenda kubeba EURO, Jamaa anaonja vifungo tu. Maisha yanabadiliko kwa kasi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…