Lionel Messi kiwango kimerudi

sina cha kuongeza kuhusu Messi
 
Hatuna mpango na yeyote kati yao, sio r7 no messi. sisi man utd tunakiu si yao hawo masharo uharo

messi kwa nini hafanyi vizur argentina timu y taifa?

Kwa kuwa napita nina haraka kidogo na majukumu ya kulikomboa Taifa hili kutoka kwny ugaidi wa Amboni kule Tanga ww jamaa hujui chochote kuhusu soka kwa hyo unaweza pita wima na usome commnts za wanaojua soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…