Nimezoea Kuona Takwimu za Magoli Yake Na Idadi kwa Ujumla mpaka idadi ya magoli ya kichwa, magoli ya mguu wa kulia/kushoto na ya penalt je nani anaweza kunambia magoli ya Faulo(free kick) anayo mangapi..? Nshauliza bila mafanikio

After his free-kick goal vs Leganes on April 7 in La Liga, Lionel Messi now has six free-kick goals this season, and 40 in his entire career. Link: Messi career Freekicks