Lionel messi matatani

mossad007

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
1,165
Reaction score
852
Maafisa Ushuru na Forodha Nchini Spain katika mji a Catalunya wamesema Mshindi wa tuzo ya Baloon d' Or mara nne mfululizo Lionel Messi anashukiwa pamoja na baba yake kwa kukwepa kodi na kusababisha hasara ya £ 3.4 million mnamo 2007-09 na kwamba uchunguzi unaendelea.
Source: BBC & Eurosport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…