Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Mungu atupe uhai Mkuu. Champions anaweza kuwa kati ya hawa, Germany, Brazil au Argentina.

Apo Wacwac wangu ni mjerumani tu.huyu mashine naogopa kukutananae__

Vivaa Argentina
Vivaa mejores jugadas de King Lion10s
 
Sasa mpaka unajiweka kitanzi kabisa mpira unadunda hao Argentina watatolew round ya makund
 
Sasa mpaka unajiweka kitanzi kabisa mpira unadunda hao Argentina watatolew round ya makund
Ni lazima watatolewa round ya makundi?. Itategemea na timu za kundi atalokuwepo. Siyo kwamba nabisha hawezi kutolewa Lahasha, kama ulivosema "mpira ni dk 90" kwa hiyo anaweza fika mbali pia, kuchukua ni ishu nyingine, kwani kila timu iliyofuzu inalengo la kuchukua ndoo!
 



Kwahyo Mungu anakuiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…