Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Hata Emmanuel Okwi aliwafunga Ruvu goli 4

Hahaha am just joking , Jamani Mess apewe tu hiyo tuzo ya mchezaji bora maana Rinaldo anafunga magoli ya kuvizia ,ya penalty ya kuotea ,yaani hayana radha wakati huyo Messi magoli yake lazima akusanye kijiji cha mabeki
 
KUT. :20:7
Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.

ISA. :48:11
Kwa ajili ya nafsi yangu, kwa ajili ya nafsi yangu, nitatenda haya; je! Litiwe unajisi jina langu? Wala sitampa mwingine utukufu wangu.
 
hivi umeona watu wanamzungumzia ronaldo kuhusu kuchukua fifa wc?? messi kaambiwa na raisi wa fifa, akitaka kuwa mchezaji bora wa wakati wote inabd achukue world cup
 
hivi umeona watu wanamzungumzia ronaldo kuhusu kuchukua fifa wc?? messi kaambiwa na raisi wa fifa, akitaka kuwa mchezaji bora wa wakati wote inabd achukue world cup
Alikuwa na nafasi hiyo 2014 Lakini sasa ngumu kutoboa, maana huko kufuzu tu umeona tia maji Tia maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…