Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Kwenye kupiga picha hizo na hao Mamba tafadhali Photoshop isihusike na kifo chako kisiandamane na kubadili Id yako humu,jiapize ila Mungu hapendi.
Viva Messi Viva Mnyama.
Badae 2018.
 
Nashangaa huyo kubahatisha matatu kelele utazan kabeba ndoo
Robo fainali na Hungary Ronaldo alifunga gol 3 peke yake na kuifanya Portigal kufuzu nusu fainali
Ila hili watu hawakuliona na kila mechi ya timu yake ya taifa Ronaldo anachangia kwa kiasi kikubwa sana
Kama Mess anajua sana kwa nini timu yake chupu chupu kutofuzu WC!?
 
Ur hete wont take u anywhere. Messi mnamuona bora mpaka afunge Hattrick na kuisaidia nchi yake kuingia Kombe la Dunia.

Ronaldo na Messi kwa binafsi yangu namkubali sana Ronaldo lakini bado sina sababu ya kumchukia Messi.

Napenda mpira na wote ni wacheza mpira lakini Ronaldo amekamilika kwa kila uwanjani, bado Messi ana mengi sana ya kujifunza kupitia kwa Ronaldo.
 
Sindo hapo
 
Messi ajifunze kwa Ronaldo? hahaha ajifunze kitu gani labda kwa mfano?
 
Umeona Mamba wa Ruaha wamemalizwa na Wachina waliokuwa wanajenga Dalaja la mto huo.
Kwa sasa hakuna Mamba mto Ruaha, labda kambale ambao waliwaacha.
Sema tu utaenda kupiga Selfie na Kambale.
 
"....... leo natangaza rasmi na mapema kabisa kwamba katika Kombe la dunia la mwakani huko nchini Urusi iwe isiwe Timu ya Taifa ya Argentina ndiyo itatwaa / itachukua Ubingwa. Kama Argentina hii ya Lionel Messi haitochukuwa Ubingwa wa World Cup mwakani 2018 huko Urusi GENTAMYCINE naahidi hapa hapa kuwa nitaenda kupiga ' Selfie ' mubashara na wale ' Mamba ' wengi wanaopatikana katika Mto Ruaha kisha baadae ' wanitafune ' nipotee kabisa kama walivyopotea wengine."

MUDA NI MWALIMU MZURI

ngoja ni-Save hii comment leo tarehe 11/10/2017 saa 11:23 jioni...Tukutane Urusi 2018 Mungu akijaalia
 

Messi World Cup hachukui. Kwa kikosi hiki cha Argentina Cha sasa ataishia kuliangalia kombe la dunia kwenye luninga tu akiwa sitting room
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…