Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Mimi ni mshabiki mkubwa sana wa post zako unazoziandika umu Jamiiforums, japo sio mchangiaji mzuri ila ni msomaji mzuri sana na leo nimeshindwa jizuia ulipomtaja Lionel Andres Bakari Athumani Messi imebidi nikuambie ukweli tu mkuu.
 
Share
Tweet

Jun 19, 2016
Ronaldinho was better than Lionel Messi and Cristiano Ronaldo - Deco
Deco has rated Ronaldinho as more talented than Lionel Messi and Cristiano Ronaldo.

Former Barcelona man Deco played alongside Ronaldinho and Messi at the Camp Nou and alongside Ronaldo with the Portugal national team.

But despite Messi and Ronaldo being widely considered to be the two best players of recent years, something backed up by their eight-year duopoly of the Ballon d'Or, Deco believes Ronaldinho was better than both.

"Ronaldinho was more talented than Messi and Cristiano Ronaldo," Deco said in quotes reported by Sport. "When we didn't know what to do, he would create chances to score.

"[Ronaldo] was young, athletic and very competitive. Messi worked hard to do what he does now with the ball for Barca, but what Ronaldinho had was completely natural, he had a special ability. Every time we gave him the ball, he would score a different type of goal."
 
Ronaldinho, without a shadow of doubt. If you want to witness magic, just watch Ronaldinho. I haven't seen anyone as insanely talented as this guy. When this guy is at his best, no one even comes close to him. He is the guy who made me fall in love with football. Give him a ball and you will see things that you never thought it existed. Such a shame, we couldn't witness his brilliance for a few more years.

P.S- I am a Cristiano Ronaldo fan and I think he isn't 50% of what Ronaldinho was.
 
Acha masikhara! Vitu vilivyofanywa na Gaucho uwanjani Messi KAMWE hathubutu kuvifanya au atavunjika kiuno.

kama ndo hivyo hata Neymar yupo juu ya Messi na Ronaldo kwasababu ana uwezo mkubwa wa kuuchezea mpira kuliko hao wawili,football is not all about kuuchezea mpira mkuu na kama ingekuwa kuuchezea mpira tu kunamfanya mchezaji kuwa bora zaidi kuwahi kutokea duniani Brazilians wata dominate sana hiyo list maana kipaji hicho wamejaaliwa kweli kweli.
Angalia impact ya Ronaldinho na Messi uwanjani ndo utajua kuwa Ronaldinho kaachwa mbali.
 
Narudia tena Messi ni cha Mtoto kwa Ronaldinho. Na hata wachezaji wengi waliocheza nao au kuwaona wanasema hivyo. Usilete ubishi wa kijinga.

Soma post zangu 87 na 88 kama lugha inapanda.

 
Hayo ni maoni ya Deco na haimaanishi kwamba Deco akisema kitu basi wewe huwezi kwenda tofauti na maoni yake.
 
Narudia tena Messi ni cha Mtoto kwa Ronaldinho. Na hata wachezaji wengi waliocheza nao au kuwaona wanasema hivyo. Usilete ubishi wa kijinga.

Soma post zangu 87 na 88 kama lugha inapanda.
Mkuu una mentality ya kizamani kumbe unampamba mchezaji kwa qoutes za wachezaji wenzie na makocha ama wachambuzi wa soka pole sana ndugu kweli tunatofautiana upeo.
 
Kumbe ni chuki dhidi ya cr7 tu. Acha wivu kumpenda messi sio nafasi ya kumchukia cr7
 
Kwa jinsi dalili zilivyo Cristiano & Messi wote watastaafu bila kuchukua kombe la dunia..


Ila yakitokea maajabu basi huyo atakaechukua ndo atakua the undisputed best of the two.
 
Lisemwalo lipo!
Inawezekana Kweli huyu jamaa huwa anabebwa maana pichani yule mbebaji kwenye maungio ya pensi yake DUDE lishahamaki kisawasawa!
 
Ronaldo ana magoli mengi ya mipira ya adhabu kuliko mess, Ana magoli mengi ya vichwa kuliko Mess.
Ana uwezo wakutumia miguu yote miwili kwa ufasaha katika kufunga magoli wakati mess ni marachache kufunga kwa mguu wa kushoto.

Ronaldo Ana uwezo wa kufunga mbaka mita 35 kwa mashuti wakati mess mbaka asogelee 18, kumbuka mechi ya man United na Benfica. Ronaldo haitaji kuzungukwa na nyota wenye vipaji ili ang'are yeye anahitaji mpira tu ili aing'arishe timu yake.
Ronaldo alisha acha mpira wa kukimbianao na kupigachenga kule Man Utd wakati mess ndio anacheza sasa.

Mess ana vingi vya kujifunza kwa Ronaldo wakati Ronaldo hana cha kujifunza kwa mess.
 
Ainue kwapa na world cup tuamini hayo mnayoyasema, otherwise hizo ni chai tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…