Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani


Huna Tusi lingine zaidi ya hilo la Choko? Halafu inaonekana ' unachokonolewa ' sana ' Kibaiolojia ' na ndiyo maana hata neno ' choko ' halikutoki ' Ubongoni ' mwako.
 
Eti nkunyooshee Kwa michambo au maana kwa kuchamba mashaalaa mtoto upo vizur

Wamenishindwa wenzako ' Manguli ' humu utaweza Wewe ' Popoma ' wa juzi tu? Sera yangu haijabadilika ambapo Wewe ukijamba Mimi nakunya kabisa! Umekuja Kihuni na ndiyo maana nami nakukabili Kihuni na Uhuni naujua vle vile ila ungekuja Kistaarabu ungefurahi nami kwani nina ustaarabu uliotukuka na huwezi amini.
 
Huna Tusi lingine zaidi ya hilo la Choko? Halafu inaonekana ' unachokonolewa ' sana ' Kibaiolojia ' na ndiyo maana hata neno ' choko ' halikutoki ' Ubongoni ' mwako.
Ntayajuaje matusi wakaty kuchamba sio kazi yangu na nakupa hilo la choko sababu machoko wana tabia kama hizo zako kwaio tunapoona watu wenye kariba kama yako haina haja ya kumiiza kichwa tunajua n wale wale Bara Alafu muuni hajiiiti muhuni acha kujipa sifa za kiume
 
Wewe ndo buure kabisa.....kazi afanye mwingine na sifa apewe mwingine
 
Mbona na Ureno ilikua chupu chupu kokosa WC 2018 au unajitoa ufahamu
 
Yakujifunza kubebwa huko morocco??
 
Kwahiyo zile faulo anazofungaga Messi huwa zipo ndani ya 18......
 
Ngoja tusubir tunzo
 
Natangaza rasmi na mapema kabisa kwamba katika Kombe la dunia la mwakani huko nchini Urusi iwe isiwe Timu ya Taifa ya Argentina ndiyo itatwaa / itachukua Ubingwa.


Labda Wababe Wake Ambao ni GERMANY na BRAZIL wapigwe Ban na FIFA Wasishiriki World Cup 2018... Venginevyo Argentina Ataendelea Kuwa Msindikizaji...
 
Messi ajifunze kwa Ronaldo? hahaha ajifunze kitu gani labda kwa mfano?


Ajifunze Kuipa Timu Yake Ya Taifa Trophy Kama Alivyofanya Ronaldo Kuipa Ureno EURO...
Lakini Ameshacheza Fainali 4 nakuishia Kuwapa Walatini Kombe tu yeye Akila Kwa Macho...

Heshima Kwa URUGUAY na CHILE kwa Kumfunza Messi Nna Ya Kunyanyua Kwapa...
 
Ajifunze Kuipa Timu Yake Ya Taifa Trophy Kama Alivyofanya Ronaldo Kuipa Ureno EURO...
Lakini Ameshacheza Fainali 4 nakuishia Kuwapa Walatini Kombe tu yeye Akila Kwa Macho...

Heshima Kwa URUGUAY na CHILE kwa Kumfunza Messi Nna Ya Kunyanyua Kwapa...
Kulifikisha taifa fainali 4 tu inaonekana dhahiri jinsi gani uwezo wa Messi upo juu sana kinachokosekana ni bahati tu yakunyakuwa kombe.
Ronaldo kaifikisha Ureno fainali ngapi?
 
Kulifikisha taifa fainali 4 tu inaonekana dhahiri jinsi gani uwezo wa Messi upo juu sana kinachokosekana ni bahati tu yakunyakuwa kombe.
Ronaldo kaifikisha Ureno fainali ngapi?


Ronaldo Kaichukulisha Ureno (Trophy) EURO moja kwa Fainali moja....

FAINALI 4 BILA YA KOMBE KAZI BURE....
FAINALI MOJA TU YENYE KOMBE NI BORA KULIKO 100000 ZISIZO NA KOMBE....


Kumbuka Messi Kaifikisha Aregentina Fainali 4 za Coper America & World Cup
na Kusumbuliwa Na Watoto Wa Dogo Kina Chile na Uruguay, Tena Kibaya Zaidi Alisumbuliwa na Wale watoto Wa Brazil Waliotandikwa Goli 7 na Ujerumani...

Hivi Mkuu Ujerumani Kamroga Wapi Argentina Hata ikafika Pahala Kuwa Popote Anapomkuta Anamdonoa?

Mwaka 1990 Fainali World Cup
Ujerumani vs Argentina ... Ujerumani Kaibuka Kidedea.

Mwaka 2014 Finali World Cup Ujerumani vs Argentina... Ujerumani Kaibuka Kidedea...

2006 World Cup
Robo/Au 16 bora Ujerumani na Argentina... Ujrumani Kaibuka Kidedea..

Yaani Argentina na Messi Wake Kwa Ujerumani ni Nyanya tu..
Fainali Mbili Zote Anafungwa na Ujerumani anashindwa Kujikomboa?

MY TAKE:
RONALDO na MESSI wote Watastaafu SOKA bila Ya Kubeba World Cup Kwani 2018 ni Vita Vya Wababe WANNE tu...

1) UJERUMANI
2) BRAZIL
3) UFARANSA
4) UENGEREZA

Waliobakia Kina Spain, Italy na Argentina ni Wasindikizaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…