LIONEL RICHIE: Mwamba na mtawala wa muziki wa Funk, Soul, Rhythm, Blues and country music

Bonge moja ya wimbo.
 
Hili dude usiombe lipigwe ukiwa ndani umetulia na chuchu wako huku kamvua ka manyu manyu kananyeesha kwa mbali.
Kwa tunaotumia mvinyo isikosekane,jikoni Kuna kanyama kanachemka kanakarangizwa na chumvi,kamewekewa tangawizi,kitunguu na mvinyo nyekundu....halafu Sasa muwe wawili tuπŸ˜‹
 
Do it to me
Penny Lover
Say You Say Me
Ballerina Girl
Stuck on You
Easy like Sunday Morning

Namkubali sana Lionel Richie wa Mo Town Records
Nikiwa mkubwa natamani nikarekodi Mo town records kama Leonel Richie!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…