Lipa kwa M-Pesa yavamiwa na wadangaji

Lipa kwa M-Pesa yavamiwa na wadangaji

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Hii sijui tuseme ndiyo kwenda na mabadiliko ya teknolojia ama vipi, sasa hivi wadangaji wengi wanamiliki hizi line za lipa kwa M-Pesa, kwahiyo hata kama ukitaka kumla na huna pesa taslimu anakwambia 'umtip' kwa M-Pesa.

ni mwendo wa *150*00# mpaka kwenye papuchi.
 
0c0264b9907042e9bc4d0d9bf058f702.jpg
 
hii sijui tuseme ndio kwenda na mabadiliko ya teknolojia ama vipi sasa hivi wadangaji wengi wanamiliki hizi line za lipa kwa mpesa kwahiyo hata kama ukitaka kumla na huna pesa cash anakwambia umtip kwa m-pesa

ni mwendo wa *150*00# mpaka kwenye papuchi
Siku hizi tunawaita wajasiriamali
 
Ambayo kimsingi ni maandalizi ya mpinga kristo kuwa bila 666 huwezi jua wala nunua. Kuna uzi wako mmoja usemao "yajayo hayafurahishi na ya kusikitisha " Mungu atusaidie.
Sahihi kabisa na maandalizi yameshakamilika
 
Back
Top Bottom