Kwema sana, kuhusiana na Lipa namba ya Azampesa
1. Kiwango cha mwisho cha kutoa kwa Wakala au kutuma pesa kutoka Lipa kwenda Benki ni milioni 10 kwa siku, kutoa kwenye tawi la Crdb haina kikomo
2. Hii haina commission
3. Gharama zote za kutoa pesa Benki au mitandao mingine kwenda Lipa namba ya AzamPesa itategemea viwango vilivyopangwa na Benki au mtandao husika