Lipia tangazo mkuuHabari wanajamvi? Mm niko powa kabisa,mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu.
Huduma toka tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana,baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa wateja wa Vodacom nikamuua kwenda kutafuta ya Vodacom.
Nimepata ila ni upuuzi tu,wana makato makubwa kuliko hata kutoa kwa wakala. Yani kama una lipa kwa mpesa mfanyabiashara utapa hasara badala ya faida.
Hongereni sana tigo kwa ubunifu.
Niliconnect na bank ikawa inakataa kupeleka natoa kwa wakala hizo makato yake nilijuta aiseeVip ya m-pesa umeconect na bank au unatoa kwa wakala baada ya malipo?
Habari wanajamvi? Mm niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu.
Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa wateja wa Vodacom nikamuua kwenda kutafuta ya Vodacom.
Nimepata ila ni upuuzi tu, wana makato makubwa kuliko hata kutoa kwa wakala. Yani kama una lipa kwa mpesa mfanyabiashara utapa hasara badala ya faida.
Hongereni sana Tigo kwa ubunifu.
Ooh okKasoro voda, mteja wa voda anakatwa kiwango sawa na kutoa pesa,kwa hiyo hakuna unafuu
Ni kweli ila naona ya tigo imekaa powa kidogo kuliko ya Selcom na m-pesa. Kwa watumiaji wa lipa ya Tigo kutoa kwa sasa hakuna makatoa kabisaWameanza lini huo utaratibu wa kutokata hela wakati wa kutoa!?Hizi lipa kwa tigopesa au mpesa,kuchanja kwenye mashine za bank ni hasara kwa mfanya biashara maana kuna makato.
Nenda tigo shop leo waambie unataka kulipia kwa lipa namba uone watakavyo kuambia namba yao inasumbua fanya kutoa kwa wakala,unadhani kwa nn!?
Nikiwa na lipa kwa Tigo pesa mtu wa mtandao wowote anaweza kulipia?Ni kweli yote isipokua unaposema umeweka lipa ya voda wateja wa Voda ....mbona lipa ya tigo inakubali mitandao yote