Lipa namba ipi nzuri kati ya Tigo au Voda?

Lipa namba ipi nzuri kati ya Tigo au Voda?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Wakuu ni lipa namba ipi nzuri kati ya Voda na tigo?
 
Vodacom wanamakato makubwa mteja anapolipa lakin hawana limiti pale unapotaka kudraw ela zako.....

Tigo wanamakato amdogo ila kiwango cha mwisho kutoa ela iliyopo kwenye lipa ni laki 5 kasoro.....!
 
Lipa ya TigoPesa ni Multitask iko na Account mbili within (TigoPesa na Lipa)
Ina makato madogo mteja akilipa
Ila free withdraw limit ni 499,999 once per day

Lipa ya Voda hai multitask
Makato ni kiwango cha tozo mteja akilipa
Hakuna limit unapotaka ku-withdraw muamala mmoja wa bure
 
Back
Top Bottom