Fafanua kidogo kiongoziWakuu ni lipa namba ipi nzuri kati ya Voda na tigo?
Unataka uzuri gani?Wakuu ni lipa namba ipi nzuri kati ya Voda na tigo?
kivip aseeLipa namba imekuja kuua biashara za miamala zinatumika sivyo
Hakika chief, sasa hivi ukifika kwa wakala anakutajia Lipa NambaLipa namba imekuja kuua biashara za miamala zinatumika sivyo
Madelu is online...Lipa namba imekuja kuua biashara za miamala zinatumika sivyo