Hapa siwez kuingia kwenye ACC yangu ya crdb kisa Sina salio simuni mpk nitumie tigoHii lipa ya vodacom ilikuwa inawanufaisha mawakala then Vodacom PLC wakashitukia mchesoo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawakala wa voda ni wengi,na lipa kwa mpesa ili wekwa kwa ajili ya kulipia bidhaa,sasa mawakala siku hizi wanaona bora ulipe kwa mpesa then wachukue chao mapema hii ni kutokana na commission zinakatwa mwisho wa mwezi,sasa hivi ile ya kutolea wanachukua yote hawagawani na voda hivo ni faida kwao mawakala pia voda kwasababu mteja anapotaka kulipa anakatwa kiasi pia.Hapa siwez kuingia kwenye ACC yangu ya crdb kisa Sina salio simuni mpk nitumie tigo
Sent using Jamii Forums mobile app