Liparamba: Pori lenye simba weupe na tembo ‘wakimbizi’

safiii,hapo kwenye simba weupe nimepaelewa,yani hakuna simba wa njano wala wakijani,ni wekunde na weupe ndo wapo,

Vyura ndo wapo wanjajo na kijani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Tandala watakuwa walihama kutoka Tabora in late 90s maana walikuwa wengi sana miaka hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…