Lipi Bora; Kutumia kondomu kwa mwenza HIV + au kutumia kwa mwenza ambaye hujui km HIV + au -?

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
Wadau
eti lipi bora kati ya haya yafuatayo?
kungonoka kwa kondomu kwa mwenza ambaye unajua ameathirika (mlienda kupima wote na majibu mkapokea wote) au kungonoka na kondomu na mwenza ambaye hujui kama ameathirika aua hajaathirika?
kwa ni nin unaona hilo uliochagua ni bora?
 
hakuna cha ubora hapo. bora kupima kwanza mjiachie kwa maraha yenu...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…