Lipi Bora?

no comment!!!!!!!!!!!!
 
Hahahahahah! Yaani nimecheka kwa sauti! 🙂
 
sijawanyaka ina maana hata kama anakuwa anamegwa vp home anakuwa anashuhurika sawasawa au vipi
 
kama ni lazima atoke..basi atembee na mwanamke mwingine hiyo ni ruksa.....from the bottom of my heart

Safi sana Preta! Acha niwahi Viola Pub naona Mvua imesahanza kunyesha Maeneo ya Kimara
 
Of course home anashughulika kama kawaida na ndio maana ana mke na watoto! Kule Mombasa mashoga wa aina hiyo wanaitwa mchicha mwiba!
 
Thats my sisie! Unatumia mvinyo gani vile!
Huu ni uthibitisho mwingine kuwa wanawake wanajua na wanakubali kuwa............................. Geoff malizia hapa, una maneno mazuri sana ya kutetea mila na tamaduni zetu!
 
misimamo ya MAKAMANDA!makamanda wana principles KAMA BIBLIA...!yaani zilishawekwa ni swala la waumini kuzifuata tu
 
jamani acha liliwe tu,yani mwiko wangu ukapike chungu kingine?atajijua yy mwenyewe na na maumivu yake
 
hahahahahah!atamalizia kaizer...!AMEJIPINDUA MASUMIN kufuata kamusi
 
jamani acha liliwe tu,yani mwiko wangu ukapike chungu kingine?atajijua yy mwenyewe na na maumivu yake

Halafu ukishagundua analiwa utachukua hatua gani? 🙂
 
Safi sana Preta! Acha niwahi Viola Pub naona Mvua imesahanza kunyesha Maeneo ya Kimara
Kiongozi hebu acha kunipandisha mzuka. Nikishakamata paya pale Up to date, ntapitia pale why not kushushia kiduchu. Then ntamcheki Eliza pale Zero pub kabla sijaja kukukamata hapo viola.
 
hatua ya nn tena?kila mtu na starehe yake bana ilimradi mm napata mambo yangu,moyo wangu swaliiiiiiiii
Halafu ukishagundua analiwa utachukua hatua gani? 🙂
 
Thats my sisie! Unatumia mvinyo gani vile!
Huu ni uthibitisho mwingine kuwa wanawake wanajua na wanakubali kuwa............................. Geoff malizia hapa, una maneno mazuri sana ya kutetea mila na tamaduni zetu!

I saw this justification coming.....na ndio maaana........
 
Of course home anashughulika kama kawaida na ndio maana ana mke na watoto! Kule Mombasa mashoga wa aina hiyo wanaitwa mchicha mwiba!

Masaki, wote huo ni uchafu na hakuna kilicho bora. Ila kama watu wengine wanavyoamini kwamba wafu hawana harufu inayolingana (wanazidiana harufu), basi mimi pia naamini mwamume hatakiwa kuguswa na mtu. Anaweza kugusa kiumbe kilichotoka ubavuni mwake lakini siyo kuanza mchezo wa cannibalism!

The bottom line: Uchafu ni uchafu na kwa hiyo hautakiwi hata siku moja.

DC.
 
hatua ya nn tena?kila mtu na starehe yake bana ilimradi mm napata mambo yangu,moyo wangu swaliiiiiiiii

Kwa hiyo utaendelea kubaki naye kwenye ndoa? Ila kama ungemfuma anatembea na mwanamke mwigine ndiyo mngeachana? 🙂
 
Kiongozi hebu acha kunipandisha mzuka. Nikishakamata paya pale Up to date, ntapitia pale why not kushushia kiduchu. Then ntamcheki Eliza pale Zero pub kabla sijaja kukukamata hapo viola.

afu unanipotezea si nimesema nataka kwenda kwa mama Matesha jamani??? nimemis....unidrop then urudi na shughuli zako
 
Kiongozi hebu acha kunipandisha mzuka. Nikishakamata paya pale Up to date, ntapitia pale why not kushushia kiduchu. Then ntamcheki Eliza pale Zero pub kabla sijaja kukukamata hapo viola.
leo mapeemaaaaaaa!nitakuvizia samuwea
 
misimamo ya MAKAMANDA!makamanda wana principles KAMA BIBLIA...!yaani zilishawekwa ni swala la waumini kuzifuata tu
Wadumisha Mila lazima wakugongee Senksi kwa hii yuzifuli posti!
 
sasa najua kwa nini Brigitta anatu-group mimi na wewe pamoja!!!!!!
 
Sijakupata vizuri DC...Uchafu upi unaozungumzia? Wa mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamek mwingine nje ya ndoa yake; AU uchafu wa mapenzi ya jinsia moja? Na je lipi bora au lipi lenye afadhali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…