Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Wadau mliopo Dar naomba Masada Ni wapi naweza kupata duka linalouza Jeans za kiume za ukweli maana Napata shida Sana ninapotafuta Jeans..hizi za mtumba Ni Za kubahatisha Sana. Nimepita maduka Kama House of jeans naona design nyingi wanazouza Ni Za kicelebrity Zaidi sasa kwa sisi raia wa kawaida inakuwa tabu kidogo. Mahitaji yangu Ni mfano wa Levis nk. Asanteni.